✨ TAA ZA KISANAA ZILIZOTENGENEZWA NA VIFUU VYA NAZIπ΄π‘
✨ TAA ZA KISANAA ZILIZOTENGEZWA NA VIFUU VYA NAZI π΄ π‘ Tunakuletea taa za kipekee zilizotengenezwa kwa kifuu cha nazi , zikipambwa kwa rangi za kuvutia za Tingatinga,rangi ya bendera ya Taifa pamoja na maua ya kupendeza πΊ . Taa hizi si tu za kipekee — balbu hubadilika rangi! π ✅ Zimetengenezwa kwa mikono 100% hapa Mtwara ✅ Zinawakilisha utamaduni wetu wa Kitanzania ✅ Zinafaa kwa mapambo ya nyumba au zawadi. π Zinapatikana sasa ADEA Gallery, Mtaa wa Sinani, Kata ya Vigaeni, Mtwara π© Tuma ujumbe kwa oda au tembelea ofisini