✨ TAA ZA KISANAA ZILIZOTENGENEZWA NA VIFUU VYA NAZI🌴💡
✨ TAA ZA KISANAA ZILIZOTENGEZWA NA VIFUU VYA NAZI🌴💡
Tunakuletea taa za kipekee zilizotengenezwa kwa kifuu cha nazi, zikipambwa kwa rangi za kuvutia za Tingatinga,rangi ya bendera ya Taifa pamoja na maua ya kupendeza 🌺. Taa hizi si tu za kipekee — balbu hubadilika rangi! 🌈
✅ Zimetengenezwa kwa mikono 100% hapa Mtwara
✅ Zinawakilisha utamaduni wetu wa Kitanzania
✅ Zinafaa kwa mapambo ya nyumba au zawadi.
📍 Zinapatikana sasa ADEA Gallery, Mtaa wa Sinani, Kata ya
Vigaeni, Mtwara
📩 Tuma ujumbe kwa oda au tembelea ofisini
Comments
Post a Comment