Posts

Showing posts from May, 2025

✨ TAA ZA KISANAA ZILIZOTENGENEZWA NA VIFUU VYA NAZIπŸŒ΄πŸ’‘

Image
  ✨   TAA ZA KISANAA ZILIZOTENGEZWA NA VIFUU VYA NAZI 🌴 πŸ’‘ Tunakuletea taa za kipekee zilizotengenezwa kwa  kifuu cha nazi , zikipambwa kwa rangi za kuvutia za  Tingatinga,rangi ya bendera ya Taifa  pamoja na maua ya kupendeza   🌺 . Taa hizi si tu za kipekee —  balbu hubadilika rangi!   🌈 ✅ Zimetengenezwa kwa mikono 100% hapa Mtwara ✅ Zinawakilisha utamaduni wetu wa Kitanzania ✅ Zinafaa kwa mapambo ya nyumba au zawadi. πŸ“ Zinapatikana sasa ADEA Gallery, Mtaa wa Sinani, Kata ya Vigaeni, Mtwara πŸ“© Tuma ujumbe kwa oda au tembelea ofisini